Â
Jinsi ya kuongeza na kuondoa washiriki
Android
iPhone
KaiOS
Wavuti na Kompyuta ya dawati
Windows
Unaweza kuongeza au kuwaondoa washiriki kwenye kikundi ikiwa wewe ndiwe msimamizi wa kikundi.
Kuongeza washiriki
- Fungua soga ya kikundi cha WhatsApp, kisha bonyeza Chaguo > Ongeza washiriki.
- Au, chagua kikundi kwenye orodha yako ya soga. Kisha bonyeza Chaguo > Maelezo ya kikundi > Ongeza washiriki.
- Tafuta au chagua waasiliani wa kuweka kwenye kikundi.
- Bonyeza Nimemaliza.
Kuondoa washiriki
- Fungua soga ya kikundi cha WhatsApp, kisha bonyeza Chaguo > Maelezo ya kikundi.
- Au, chagua kikundi kwenye orodha yako ya soga. Kisha bonyeza Chaguo > Maelezo ya kikundi.
- Chagua mshiriki unayetaka kumwondoa.
- Bonyeza Chaguo > Ondoa kwenye kikundi > ONDOA.