Masharti ya Huduma unayotumia

Ikiwa unaishi katika nchi iliyo kwenye Eneo la Uchumi wa Ulaya (ambalo linajumuisha Jumuia ya Ulaya) na nchi au eneo jingine lolote lililojumuishwa (kwa pamoja hujulikana kama Eneo la Ulaya), WhatsApp Ireland Limited inakupa huduma za WhatsApp chini ya Masharti haya ya Huduma na Sera ya Faragha.
Ikiwa unaishi Uingereza, WhatsApp LLC inakupatia huduma ya WhatsApp chini ya Masharti haya ya Huduma na Sera ya Huduma.
Ikiwa unaishi katika nchi nyingine yoyote isipokuwa zile za Eneo la Ulaya au Uingereza, WhatsApp LLC inakupatia huduma za WhatsApp chini ya Masharti haya ya Huduma na Sera ya Faragha.
Je, hili linajibu swali lako?
Ndiyo
La