Jinsi ya kuunda na kualika washiriki kwenye kikundi

Unaweza kuunda kikundi cha WhatsApp chenye hadi washiriki 256.
Kuunda kikundi
  1. Bonyeza Soga mpya.
  2. Bonyeza Kikundi kipya.
  3. Tafuta au chagua watu unaotaka kuwaongeza kwenye kikundi > bonyeza Inayofuata.
  4. Weka mada ya kikundi. Tafadhali kumbuka:
    • Ukomo wa mada ni herufi 25.
    • Unaweza pia Kuweka aikoni ya kikundi.
  5. Bonyeza Imekamilika.
Je, hii ilikusaidia?
Ndiyo
La