Haiwezi kupokea arifa kwenye Safari

Wavuti na Kompyuta ya dawati
Ikiwa hupokei arifa kwenye mtandao wa WhatsApp, hakikisha arifa zako zimewashwa kwenye kivinjari chako.
Washa arifa
  1. Kwenye kivinjari chako, bofya *Washa arifa * yenye bendera rangi ya bluu juu ya orodha yako ya soga.
  2. Fuata maelekezo kwenye skrini.
Dondoo: Ikiwa huoni bendera ya bluu, anzisha upya ukurasa. Ikiwa bado huoni bendera, huenda ume tuliza au kuzima arifa kwenye mipangilio ya WhatsApp.
Ruhusu arifa
  1. Kwenye kivinjari chako, bofya Safari > Mapendeleo... > Tovuti > Arifa.
  2. Kama menyu kunjuzi ya "web.whatsapp.com" imewekwa kwenye Kataza, ibadilishe kuwa Ruhusu.
Rasilimali zinazohusiana:
Je, hili linajibu swali lako?
Ndiyo
La