Â
Jinsi ya kupakua au kuondoa WhatsApp
Android
iPhone
KaiOS
Kupakua WhatsApp
- Bonyeza JioStore au Duka kwenye menyu ya programu.
- Sogeza kuelekea upande ili uchague Jamii.
- Chagua WhatsApp.
- Bonyeza SAWA au CHAGUA > SAKINISHA au PATA.
Kuondoa WhatsApp
- Chagua WhatsApp kwenye menyu ya programu.
- Bonyeza Chaguo > Ondoa > SAWA au Ondoa. Kufanya hivyo kutaondoa programu na data yake yote.
- Kwenye JioPhone au JioPhone 2, huhitaji kubofya Chaguo kabla ya Ondoa.
Rasilimali zinazohusiana: