Kuhusu kutumia vipengele vya hiari vya Kampuni ya Meta ikiwa ulichagua kutoshiriki maelezo ya akaunti yako ya WhatsApp na Facebook

Tunatambua kuwa baadhi ya watumiaji mnamo mwaka wa 2016 walichagua kutoshiriki maelezo yao ya akaunti ya WhatsApp pamoja na Facebook ili kuboresha matangazo wanayopokea kwenye Facebook na uzoefu wako. Tangu wakati huo, tumeanza kutoa vipengele vipya vya hiari vinavyosaidia kuunganisha uzoefu wako wa kutumia WhatsApp na Kampuni zingine za Meta. Vipengele hivi vinaweza kuhitaji kushiriki maelezo yako na Facebook kama ilivyoelezwa kwenye sera husika ya faragha. Una hiari ya kutotumia vipengele hivi.
  • Maduka ya Facebook: Ukichagua kutumia kipengele hiki, WhatsApp haishirikishi maelezo ya akaunti yako na Facebook ili uweze kuona bidhaa kwenye duka la Facebook.
Je, hili linajibu swali lako?
Ndiyo
La