Akaunti ya biashara iliyothibitishwa

WhatsApp inatafuta njia za kukuwezesha kuwasiliana na biashara zilizo muhimu kwako.
Beji ya kijani
iliyo karibu na jina la mhusika inathibitisha kwamba hii ni akaunti halisi na tambulika ya biashara.
Ikiwa utataka kusimamisha biashara isiwasiliane nawe, pata maelezo kuhusu jinsi ya kuizuia kwenye Android au iPhone.
Kumbuka: Uthibitishaji wa biashara kwenye WhatsApp unapatikana katika idadi ndogo ya biashara zinazoshiriki mpango wa jaribio lisilo wazi.
Je, hili linajibu swali lako?
Ndiyo
La