Jinsi ya kubadilisha lugha ya WhatsApp

Android
iOS
KaiOS
WhatsApp hufuata lugha unayotumia kwenye simu yako. Kwa mfano, ikiwa utabadilisha lugha ya simu yako kuwa Kihispania, WhatsApp itakuwa katika Kihispania.
Kubadilisha lugha ya simu yako
  1. Nenda kwenye Mipangilio ya simu yako.
  2. Gusa Lugha.
  3. Gusa lugha.
Kubadili lugha yako kwenye WhatsApp
Ikiwa unatumia Android, unaweza kuwa na chaguo ya kubadili lugha ya WhatsApp kwenye programu. Unaweza kuchagua lugha yako kwenye skrini ya Karibu au ikiwa tayari unatumia WhatsApp:
  1. Gusa
    more options
    > Mipangilio > Lugha ya Programu.
  2. Gusa lugha.
Kumbuka: Je, huoni kipengele hiki? Huenda hakitumiki katika nchi au eneo ulipo.
Rasilimali zinazohusiana
Je, hili linajibu swali lako?
Ndiyo
La