Jinsi ya kufuta chelezo
Unaweza kufuta chelezo zako za WhatsApp kwa kufuata maelekezo hapa chini.
Kabla hujaanza, fikiria yafuatayo:
- Faili za chelezo zako za historia ya soga zinahifadhiwa kwenye folda ya
/sdcard/WhatsApp/Databases/
. - Huwezi kufungua folda hizi nje ya WhatsApp.
- Utahitaji usimamizi wa faili ili kufuta faili hizi.
Kufuta chelezo zako:
- Fungua Usimamizi wa Faili.
- Gusa folda ya WhatsApp, orodha ya folda ndogo kwenye WhatsApp zitaonekana.
- Gusa na shikilia faili ya Databases.
- Chagua Futa.