Jinsi ya kuweka upya msimbo wako wa QR ya WhatsApp

Unaweza kuweka upya msimbo wako wa QR ya WhatsApp wakati wowote ili uufanye msimbo wa awali usiweze kutumika na kuunda msimbo mpya wa QR ya WhatsApp. Ukifuta akaunti yako ya WhatsApp, msimbo wako wa QR ya WhatsApp pia utafutwa.
Kuweka upya msimbo wa QR
  1. Fungua WhatsApp > Mipangilio.
  2. Gusa aikoni ya QR inayoonyeshwa karibu na jina lako.
  3. Gusa Weka upya msimbo wa QR > Weka upya > SAWA.
Rasilimali zinazohusiana:
Je, hili linajibu swali lako?
Ndiyo
La