Â
Jinsi ya kuangalia msimbo wako wa QR ya WhatsApp
Kuangalia msimbo wako wa QR wa WhatsApp
Android
- Fungua WhatsApp > gusa Chaguo zaidi> Mipangilio.
- Gusa aikoni ya QR inayoonyeshwa karibu na jina lako.
iPhone
- Fungua WhatsApp > Mipangilio.
- Gusa aikoni ya QR inayoonyeshwa karibu na jina lako.
Kwenye iPhone 6s na mpya zaidi, unaweza pia kugusa na kushikilia aikoni ya WhatsApp kwenye skrini ya nyumbani. Kisha, gusa Msimbo wangu wa QR kwenye menyu ya kitendo cha haraka.
Rasilimali zinazohusiana:
- Kuhusu Misimbo ya QR ya WhatsApp