Jinsi ya kutuma GIF

Android
iPhone
Unaweza kutuma GIF kwa soga za kibinafsi au kikundi.
 1. Fungua WhatsApp.
 2. Fungua soga ya kibinafsi au kikundi.
 3. Gusa Emoji
  > GIF.
 4. Gusa Tafuta
  kutafuta GIF maalumu.
 5. Gusa GIF unayotaka kutuma.
 6. Gusa Tuma
  .
Je, hili linajibu swali lako?
Ndiyo
La