Â
Kubadilisha mandhari
Android
Unaweza kubadilisha mandhari ya soga kwenye WhatsApp > Hiari zaidi
> Mipangilio > Soga > Mipangilio.

Mbadala, unaweza kufungua soga > Zaidi hiari
> Mandhari.

Unaweza kuchagua kutoka kwenye picha zako mwenyewe kutoka Matunzio, Rangi imara, Maktaba ya Mandhari au Kawaida.
Mandhari hiyo itatumika kwenye soga zote. Haiwezekani kuwa na mandhari tofauti kwa kila soga.