Jinsi ya kufuta soga

Android
iOS
KaiOS
  1. Kwenye orodha yako ya soga, chagua soga ya binafsi ambayo unataka kufuta.
  2. Bonyeza Chaguo > Futa > Sawa.
Kumbuka: Kipengele cha kufuta soga zote kwa wakati mmoja hakitumiki kwenye KaiOS.
Je, hili linajibu swali lako?
Ndiyo
La