Â
Jinsi ya kufuta soga
Android
iPhone
KaiOS
Kufuta soga ya kibinafsi
- Kwenye tab ya Soga, telezesha kushoto kwenye soga unayotaka kufuta.
- Gusa Zaidi > Futa Soga > Futa Soga.
Mbadala, gusaHariri, kwenye kona ya juu ya tab ya Soga > Chagua soga unayotaka kufuta > Gusa Futa > Futa Soga.
Futa soga ya kikundi
Kufuta soga ya kikundi, kwanza unahitaji kuondoka kwenye kikundi:
- Kwenye tab ya Soga, telezesha kushoto kwenye soga ya kikundi unayotaka kufuta.
- Gusa Zaidi > Ondoka kwenye kikundi > Ondoka kwenye kikundi.
- Telezesha kushoto kwenye soga za kikundi > gusa Futa Kikundi > Futa Kikundi.
Futa soga zote kwa mara mmoja
- Nenda WhatsApp Mipangilio > Soga > Futa Soga Zote.
- Ingiza namba yako ya simu > gusa Futa Soga Zote.
Soga za kibinafsi zitafutwa kutoka kwenye tab ya Soga. Hata hivyo, soga za kikundi bado zitaonekana kwenye tab ya Soga zako, na bado utakua sehemu yao isipokuwa uondoke.
Rasilimali zinazohusiana: