Simu zilizorootiwa na zilizo na ROM za kipekee

Android
ROM za kipekee na simu zilizorootiwa haziwezeshwi na WhatsApp. Kuna tofauti nyingi sana katika usanifu huu kwa sisi kudumisha bidhaa inayofanya kazi. Aidha, ROM za kipekee na kuroot haziruhusu muundo wa usalama wa WhatsApp kufanya kazi kama ilivyopangwa. Ikiwa unatumia ROM za kipekee au simu iliyotootiwa, programu zingine zinaweza kusoma jumbe zako licha ya ufumbaji wa mwisho-kwa-mwisho.
Kwa uzoefu bora wa WhatsApp, tafadhali tumia ROM asili na uondoe root. Unaweza kuwasiliana na muundaji wa simu yako kwa maagizo maalum kuhusu jinsi ya kuondoa root.
Je, hili linajibu swali lako?
Ndiyo
La