Jinsi ya kuripoti katalogi au biashara

Android
iPhone
Ikiwa unaamini kuwa biashara inakiuka Sera ya Uuzaji, unaweza kuiripoti.
Kuripoti huduma au bidhaa
 1. Fungua soga kati yako na biashara hiyo.
 2. Gusa jina la biashara.
 3. Karibu na Katalogi, gusa TAZAMA ZOTE.
 4. Gusa bidhaa au huduma.
 5. Gusa Chaguo zaidi
  > Ripoti.
 6. Una machaguo mawili:
  • Kuripoti bidhaa au huduma, gusa RIPOTI.
  • Kutoa maelezo zaidi, gusa TUAMBIE ZAIDI. Teua chaguo, kisha uguse WASILISHA.
Kuripoti biashara
 1. Nenda kwenye jalada la biashara kwenye WhatsApp Business kisha usogeze hadi chini.
 2. Gusa Ripoti biashara.
 3. Una machaguo mawili:
  • Kuzuia na kuripoti biashara, gusa kisanduku cha kuteua karibu na Zuia anwani na ufute ujumbe wa soga hii. Kisha, uguse RIPOTI.
  • Kuripoti biashara, gusa RIPOTI.
Je, hili linajibu swali lako?
Ndiyo
La