Â
Jinsi ya kudhibiti wasimamizi wa kikundi
Android
iPhone
KaiOS
Wavuti na Kompyuta ya dawati
Windows
Msimamizi yeyote katika kikundi anaweza kumfanya mshiriki awe msimamizi. Kikundi kinaweza kuwa na idadi isiyo na kikomo ya wasimamizi. Mtu aliyeanzisha kikundi hawezi kuondolewa na atabaki kuwa msimamizi isipokuwa aondoke kwenye kikundi.
Kumfanya mshiriki kuwa msimamizi
- Fungua soga ya kikundi cha WhatsApp, kisha bofya mada.
- Au, bofya Menyu (au) kwenye kona ya juu > Maelezo ya kikundi.
- Au, bofya Menyu (
- Fanya kiashiria kielee juu ya mshiriki unayetaka kumfanya kuwa msimamizi, kisha bofya Menyu.
- Bofya Mfanye msimamizi wa kikundi > MFANYE MSIMAMIZI WA KIKUNDI.
Kuwafanya washiriki wengi wasimamizi kwa wakati mmoja
- Fungua soga ya kikundi cha WhatsApp, kisha bofya mada.
- Au, bofya Menyu (au) kwenye kona ya juu > Maelezo ya kikundi.
- Au, bofya Menyu (
- Bofya Mipangilio ya kikundi > Badili wasimamizi wa kikundi.
- Chagua washiriki unaotaka kuwafanya wasimamizi.
- Bofya alama hakikishi ya kijani unapomaliza.
Kuondoa msimamizi
- Fungua soga ya kikundi cha WhatsApp, kisha bofya mada.
- Au, bofya Menyu (au) kwenye kona ya juu > Maelezo ya kikundi.
- Au, bofya Menyu (
- Fanya kiashiria kielee juu ya msimamizi unayetaka kumwondoa, kisha bofya Menyu.
- Bofya Mwondoe kuwa msimamizi.
Kuwaondoa wasimamizi wengi kwa wakati mmoja
- Fungua soga ya kikundi cha WhatsApp, kisha bofya mada.
- Au, bofya Menyu (au) kwenye kona ya juu > Maelezo ya kikundi.
- Au, bofya Menyu (
- Bofya Mipangilio ya kikundi > Badili wasimamizi wa kikundi.
- Ondoa alama hakikishi kwenye wasimamizi unaotaka kuwaondoa.
- Bofya alama hakikishi ya kijani unapomaliza.