Jinsi ya kuweka au kuondoa nyota kwenye ujumbe

Android
iPhone
KaiOS
Wavuti na Kompyuta ya dawati
Windows
Kipengele cha jumbe zenye nyota kinakuruhusu kuziwekea alama jumbe maalum ili uweze kuzirejea tena baadaye.
Kuweka nyota kwenye ujumbe
 1. Vinjari juu ya ujumbe unaotaka kuweka nyota.
 2. Bofya Menyu
  > Weka nyota kwenye ujumbe.
Kumbuka: Kutazama jumbe zako zote zenye nyota, bofya Menyu
au
juu ya orodha yako ya soga > Nyota.
Kuondoa nyota kwenye ujumbe
 1. Vinjari juu ya ujumbe unaotaka kuondoa nyota.
 2. Bofya Menyu
  > Ondoa nyota kwenye ujumbe.
Mbadala:
 1. Bofya Menyu
  au
  juu ya orodha ya soga > Nyota.
 2. Chagua ujumbe unaotaka kuondoa nyota, ambao utakupeleka kwa ujumbe huo katika soga ya kibinafsi au kikundi.
 3. Vinjari juu ya ujumbe.
 4. Bofya Menyu
  > Ondoa nyota kwenye ujumbe.
Ondoa nyota kwa jumbe zote
 1. Bofya Menyu
  au
  juu ya orodha ya soga > Nyota.
 2. Bofya Menyu
  au
  kwa "Jumbe zenye nyota" > Ondoa nyota zote > ONDOA NYOTA.
Rasilimali zinazohusiana:
Jinsi ya kuweka au kuondoa nyota kwenye ujumbe: Android | iPhone
Je, hili linajibu swali lako?
Ndiyo
La