Jinsi ya kutuliza au kurejesha sauti ya sasisho ya hali ya mwasiliani

Unaweza kutuliza sasisho ya hali ya mwasiliani maalumu ili asionekane tena juu ya kichupo cha Hali.
Tuliza sasisho ya hali ya mwasiliani
  1. Fungua WhatsApp > Hali.
  2. Telezesha kushoto sasisho ya mwasiliani wako.
  3. Gusa Tuliza > Tuliza.
Rejesha sauti ya sasisho ya hali ya mwasiliani
  1. Fungua WhatsApp > Hali.
  2. Sogeza chini kwa sehemu ya SASISHO ZILIZOTULIZWA.
  3. Telezesha kushoto sasisho ya mwasiliani wako.
  4. Gusa Rejesha sauti > Rejesha sauti.
Rasilimali zinazohusika:
Jinsi ya kutuliza au kurejesha sauti ya sasisho ya mwasiliani: Android | KaiOS
Je, hii ilikusaidia?
Ndiyo
La