Kusanidi mipangilio yako ya faragha

Kwa kawaida, WhatsApp inaweka mipangilio yako ya faragha kurusuhu:
Kubadilisha mipangilio hii, nenda tu kwenye WhatsApp > Mipangilio > Akaunti > Faragha.
Kumbuka:
  • Ikiwa hushirikishi ulipoonwa mwisho, hutaweza kuona wengine walipoonwa mwisho.
  • Hakuna njia ya kuficha unapokuwa mtandaoni au unandika.
  • Ukizima taarifa za kusomwa, hautaweza kuona taarifa za kusomwa kutoka kwa watu wengine. Taarifa za kusomwa hutumwa kwa vikundi kila mara.
  • Kama mwasiliani amelemaza taarifa za kusomwa, hutaweza kuona ameona sasisho ya hadhi yako.
Jifunze kuhusu mipangilio ya faragha kwenye: Android
Je, hii ilikusaidia?
Ndiyo
La