Â
Jinsi ya kuanza kutumia Jukwaa la WhatsApp Business
Kabla hujaanza kushirikiana na wateja kwenye Jukwaa la WhatsApp Business, ni lazima kwanza ufungue akaunti ya WhatsApp Business.
Ikiwa wewe ni msanidi programu wa kampuni yako, fungua akaunti kupitia Hati za Wasanidi Programu wa WhatsApp.
Ikiwa wewe ni Mtoa Suluhisho la Biashara (BSP), fungua akaunti kwenye Kidhibiti cha Biashara cha Meta.
Ikiwa unafanya kazi na BSP ili kuunganisha na mifumo ya WhatsApp, fungua akaunti kupitia mtiririko wa kujisajili uliojumuishwa.
Angalia maktaba yetu ya usaidizi wa maudhui ili upate majibu na utatue hitilafu.
Rasilimali zinazohusiana: