Jinsi ya kuanzisha soga

  1. Bonyeza Soga mpya.
  2. Chagua mwasiliani wa kuanzisha soga naye.
  3. Bonyeza SAWA.
  4. Ingiza ujumbe kwenye sanduku la Ujumbe kuanza kupiga soga na mwasiliani uliyemchagua.
  5. Bonyeza TUMA.
Je, hii ilikusaidia?
Ndiyo
La