Nani anayekupa huduma za WhatsApp

Kuanzia tarehe 1 Januari, 2021
Ikiwa unaishi katika nchi au maeneo yaliyoorodheshwa hapo chini (“Eneo la Ulaya”, ambazo ni nchi katika Umoja wa Ulaya), huduma zako za WhatsApp zinazotolewa na WhatsApp Ireland Limited, ambayo pia ni msimamizi wa data inayowajibikia taarifa zako wakati unatumia huduma za WhatsApp:
Andora, Austria, Azores, Ubelgiji, Bulgaria, Visiwa vya Canary, Visiwa vya Channel, Kroasia, Jamhuri ya Czech, Denmark, Estonia, Ufini, Ufaransa, Guiana ya Ufaransa, Ujerumani, Ugiriki, Guadeloupe, Hungary, Iceland, Ireland, Isle of Man , Italia, Latvia, Liechtenstein, Lithuania, Luxemburg, Madeira, Malta, Martinique, Mayotte, Monaco, Uholanzi, Norwe, Poland, Ureno, Jamhuri ya Kupro, Reunion, Romania, San Marino, Saint Barthelemy, Saint-Martin, Slovakia, Slovenia, Uhispania, Uswidi, Uswizi, Uingereza, Himaya huru za Uingereza zilizo Kupro (Akrotiri na Dhekeli) na Jiji la Vatican.
Ikiwa huishi katika mojawapo ya nchi au maeneo yaliyoorodheshwa hapo juu, unapata huduma za WhatsApp kutoka WhatsApp LLC.
Je, hili linajibu swali lako?
Ndiyo
La