Jinsi ya kufuta soga

Android
iPhone
KaiOS
Futa soga ya kibinafsi
 1. Kwenye tab ya Soga, gusa na shikilia soga ya kibinafsi unayotaka kufuta.
 2. Gusa Futa
  > FUTA.
Futa soga ya kikundi
Kufuta soga ya kikundi, kwanza unahitaji kuondoka kwenye kikundi.
 1. Kwenye tab ya Soga, gusa na shikilia soga ya kikundi unayotaka kufuta.
 2. Gusa Hiari zaidi
  > Ondoka kwenye kikundi > ONDOKA.
 3. Gusa na shikilia soga ya kikundi tena, kisha gusa Futa
  > FUTA.
Kufuta soga zote kwa wakati mmoja
 1. Kwenye tab ya Soga, gusa Hiari zaidi
  > Mipangilio > Soga > Historia ya soga.
 2. Gusa Futa soga zote.
Soga za kibinafsi na sasisho za hadhi zitafutwa kutoka kwenye tab ya Soga zako. Hata hivyo,soga za kikundi bado zitaonekana kwenye tab ya Soga, na bado utakuwa sehemu yao isipokuwa uondoke.
Rasilimali zinazohusiana:
Je, hili linajibu swali lako?
Ndiyo
La