Jinsi ya kumfuta mwasiliani

Android
iPhone
  1. Fungua WhatsApp na nenda kwenye tab ya Soga.
  2. Gusa Soga mpya
    > tafuta au chagua mwasiliani unayetaka kumfuta.
  3. Gusa jina la mwasiliani iliyo juu.
  4. Gusa Hariri > biringiza hadi chini na gusa Futa Mwasiliani.
Kufuta mwasiliani kutoka kwenye kitabu cha anwani cha simu yako hakutafuta historia ya soga na yeye. Unaweza kujua jinsi ya kufuta soga kwenye makala haya.
Je, hili linajibu swali lako?
Ndiyo
La