Â
Jinsi ya kumfuta mwasiliani
Android
iPhone
- Fungua WhatsApp na nenda kwenye tab ya Soga.
- Gusa Soga Mpya.
- Tafuta au chagua mwasiliani unayetaka kumfuta.
- Gusa jina la mwasiliani iliyo juu..
- Gusa Hiari zaidi> Tazama kwenye kitabu cha anwani > Hiari zaidi> Futa.
Kisha, onyesha upya waasiliani wako wa WhatsApp:
Fungua WhatsApp > gusa Soga Mpya
> Hiari zaidi
> Onyesha upya.

