Kuhusu kutuma ujumbe kwenye WhatsApp

WhatsApp hutumia muunganisho wa mtandao wa data ya simu yako ya mkononi au Wi-Fi ili kutuma na kupokea ujumbe na simu. Mradi hujapitisha kiwango chako cha data ya simu, mtoa huduma wako wa simu hapaswi kukutoza unapotumia WhatsApp. Ikiwa simu yako ipo kwenye mtandao wa ng'ambo, unaweza kutozwa gharama za data.
Rasilimali zinazohusiana:
Je, hili linajibu swali lako?
Ndiyo
La