Kuhusu ruhusa za WhatsApp

Android
iPhone
Ili kutumia picha na video zako kwenye WhatsApp, utahitajika kuipatia programu ruhusa kufikia Picha kwenye iPhone yako. Ukikataa kutoa ruhusa ya kutumia picha, utaona tahadhari hii:
Toa ruhusa
Unaweza kutoa ruhusa kwa kubadilisha mipangilio ya faragha ya iPhone yako.
  1. Nenda kwa iPhone Mipangilio
    > Faragha.
  2. Gusa Picha > WhatsApp > Soma na Andika.
Fungua WhatsApp na sasa utaweza kutumia Picha zako za iPhone ulizonazo kwenye WhatsApp.
Kama WhatsApp inarangi ya kijivu au haionekani kwenye mipangilio ya faragha
Hakikisha kwamba huna vikwazo vyovyote vilivyowekwa kwenye iPhone Mipangilio > Muda wa Skrini. Vinginevyo, unaweza kuhitajika kucheleza na kurejesha simu yako.
Je, hili linajibu swali lako?
Ndiyo
La