Kampuni za Meta

Pamoja na huduma zinazotolewa na Meta Platforms Inc. na Meta Platforms Ireland Ltd, Meta inamiliki kila moja ya kampuni zilizoorodheshwa hapa chini, ambazo zinaendesha huduma zao kufuatana na masharti ya huduma na sera zao za faragha. Kwa maelezo zaidi kuhusu desturi za faragha za WhatsApp tafadhali angalia ukurasa wetu wa Faragha kwenye WhatsApp na kwa desturi nyingine za faragha za kampuni zingine za Meta na jinsi zinavyoshughulikia taarifa binafsi zinapokupatia huduma zao, tafadhali tembelea viungo vifuatavyo:
Je, hili linajibu swali lako?
Ndiyo
La