Jinsi ya kuripoti orodha au biashara

Ikiwa unafikiria biashara inakiuka Sera ya Biashara yetu, unaweza kuiripoti.
Ripoti bidhaa au huduma
 1. Fungua soga na biashara.
 2. Gusa jina la biashara kuona jalada lao la WhatsApp Business.
 3. Gusa ONA YOTE karibu na ORODHA.
 4. Gusa bidhaa au huduma kutazama Maelezo.
 5. Gusa Zaidi
  > Ripoti.
 6. Una hiari mbili:
  • Kuripoti bidhaa au huduma tu, gusa Ripoti.
  • Kutoa maelezo zaidi, gusa Tueleze Zaidi. Kisha, chagua hiari na gusa Wasilisha.
Ripoti biashara
 1. Nenda kwenye jalada la WhatsApp Business.
 2. Gusa Ripoti biashara.
 3. Una hiari mbili:
  • Gusa Ripoti na Zuia kuripoti na kuzuia biashara.
  • Kuripoti biashara tu, gusa Ripoti.
Je, hili linajibu swali lako?
Ndiyo
La