Haiwezi kuhamisha WhatsApp kwenda kwenye kadi ya SD

Haiwezekani kuhamisha WhatsApp kwenda kwenye kadi ya kumbukumbu (kadi ya SD) kwa wakati huu.
Tunajitahidi kuboresha ukubwa wa programu yetu na matumizi ya kumbukumbu. Kwa wakati huu, ikiwa unahitaji kuachilia nafasi kwa ajili ya WhatsApp, tunapendekeza uhamishe programu nyingine na faili za maudhui kwenda kwenye kadi yako ya SD.
Je, hii ilikusaidia?
Ndiyo
La