Kuhusu hali

KaiOS
Hali hukuruhusu kushiriki masasisho ya maandishi, picha, video na GIF zinazotoweka baada ya saa 24. Ili kutuma na kupokea masasisho ya hali kutoka kwa unaowasiliana nao, wewe na unaowasiliana nao lazima mwe na nambari za simu za kila mmoja wenu zikiwa zimehifadhiwa katika vitabu vya anwani vya simu zenu
Kumbuka:
  • Sasisho la hali haliruhusiwi kupita urefu wa sekunde 30.
  • WhatsApp inaruhusu video za muundo wa 3GP na mpeg4.
Rasilimali zinazohusiana:
Jinsi ya kutumia sasisho la hali kwenye: Android | iPhone | KaiOS
Je, hili linajibu swali lako?
Ndiyo
La