Â
Kupata jumbe kutoka kwa biashara
WhatsApp inaanzisha njia mpya za wewe kuwasiliana na biashara. Lengo letu ni kuyafanya mawasiliano na biashara unazohusika nazo kila siku kuwa haraka, rahisi na kuaminika zaidi. Programu hii ni sehemu ya juhudi hiyo.