Jinsi ya kujibu ujumbe

Unaweza kutumia kipengele cha kujibu unapojibu ujumbe mahususi kwenye soga ya binafsi au ya kikundi.

Android
 1. Telezesha kulia kwenye ujumbe.
 2. Weka jibu lako kisha gusa Tuma
  .
Ili umjibu binafsi mtu aliyetuma ujumbe kwenye kikundi:
 1. Gusa na ushikilie ujumbe husika.
 2. Gusa Chaguo zaidi
  > Jibu binafsi.
iPhone
 1. Telezesha kulia kwenye ujumbe.
 2. Weka jibu lako kisa gusa Tuma
  .
Ili umjibu binafsi mtu aliyetuma ujumbe kwenye kikundi:
 1. Gusa na ushikilie ujumbe husika.
 2. Gusa Zaidi > Jibu Binafsi.
WhatsApp Web na Desktop
 1. Fanya kiashiria kielee juu ya ujumbe, kisha ubofye Menyu
  > Jibu
 2. Weka jibu lako kisha bofya Tuma (
  au
  ).
Ili umjibu binafsi mtu aliyetuma ujumbe kwenye kikundi:
 1. Fanya kiashiria kielee juu ya ujumbe, kisha ubofye Menyu.
 2. Bofya Menyu
  > Jibu binafsi.
Kumbuka: Ukitaka kughairi jibu kabla ya kutuma, gusa au bofya aikoni ya "x" karibu na ujumbe.
Je, hili linajibu swali lako?
Ndiyo
La