Kuhusu ujumuishaji wa Maduka na Programu ya WhatsApp Business

Kumbuka: Huenda bado usiweze kutumia kipengele hiki.
Maduka ya Facebook ni zana inayoruhusu wamiliki wa biashara kutoa huduma mahususi za ununuzi katika biashara zao na kuzijumuisha kwa urahisi na programu za jamii ya Facebook. Kupitia maduka yao, wamiliki wa biashara wanaweza kuonyesha bidhaa na huduma wanazouza na kuungana na wateja watarajiwa. Ni zana ya thamani kwa biashara yoyote inayokua.
Kumbuka: Nambari za simu zilizosajiliwa kwenye Programu ya WhatsApp Business ndizo pekee zinaweza kuunganishwa na duka.
Rasilimali zinazohusiana:
Je, hii ilikusaidia?
Ndiyo
La