Jinsi ya kuzuia au kuruhusu biashara

Android
iPhone
Kuacha kupokea ujumbe kutoka kwa biashara kwenye WhatsApp:
  1. Fungua soga husika kutoka kwenye biashara.
  2. Gusa jina la biashara, kisha gusa Zuia au Zuia Biashara.
Kuruhusu biashara kwenye WhatsApp:
  1. Nenda kwenye mipangilio ya WhatsApp.
  2. Gusa Akaunti > Faragha > Waliozuiliwa.
  3. Chagua jina la biashara, kisha gusa Ruhusu au Ruhusu Biashara.
Rasilimali zinazohusiana:
Je, hili linajibu swali lako?
Ndiyo
La