Jinsi ya kusambaza sasisho la hali

Tumia kipengele cha kusambaza ili usambaze sasisho lako la hali kwa waasiliani wako. Masasisho ya hali yaliyosambazwa hupokelewa kama ujumbe wa WhatsApp.
Kusambaza sasisho
  1. Fungua WhatsApp > Hali.
  2. Chagua sasisho la hali unalotaka kusambaza.
  3. Bonyeza > Sambaza.
  4. Tafuta au chagua mwasiliani unayetaka au kikundi unachotaka kusambazia sasisho.
  5. Bonyeza Tuma.
Rasilimali zinazohusiana:
Je, hii ilikusaidia?
Ndiyo
La