Jinsi ya kutumia emoji

Android
iPhone
Emoji hazijengwi kwenye WhatsApp ya iPhone. Hata hivyo, emoji zinaweza kutumika kwenye iPhone kwa kutumia kiandikio cha emoji. Wasiliana na msaada wa Apple kujifunza jinsi ya kuwezesha kiandikio cha emoji.
Tumia emoji kwenye WhatsApp
Mara kiandikio cha Emoji kinapowezeshwa, unaweza kuipata kwa kugusa Dunia
au ikoni ya Emoji
kwenye kiandikio.
Kumbuka: Mara kwa mara Apple inatumia emoji mpya kwenye matoleo mapya ya iOS. Tafadhali hakikisha kuwa una tolea la karibuni la iOS ili uweze kupata emoji ya karibuni. Maelekezo ya kuboresha programu ya simu yako yanaweza kupatikana kwenye tovuti ya Usaidizi ya Apple.
Rasilimali zinazohusiana:
  • Jinsi ya kutumia emoji kuhariri picha na video kwenye iPhone
Je, hili linajibu swali lako?
Ndiyo
La