Jinsi ya kushiriki viungo vya Duka lako la Facebook kwenye WhatsApp

Kumbuka: Huenda bado usiweze kutumia kipengele hiki.
Shirikisha kiungo cha ukurasa wa bidhaa kwenye WhatsApp
 1. Fungua ukurasa wa bidhaa katika duka lako kwenye Facebook. Kisha, gusa
  > Hiari Zaidi.
 2. Gusa aikoni ya WhatsApp.
 3. Chagua mtu au kikundi unayetaka kushirikisha ukurasa wa bidhaa naye.
 4. Gusa kitufe cha tuma au Ifuatayo.
 5. Andika ujumbe wako. Kumbuka: kiungo cha ukurasa wa bidhaa kitaambatishwa kwenye ujumbe wako.
 6. Gusa
  au
  .
Rasilimali zinazohusiana:
Je, hii ilikusaidia?
Ndiyo
La