Â
Jinsi ya kuzuia au kuruhusu biashara
Android
iPhone
Kuacha kupokea ujumbe kutoka kwa biashara kwenye WhatsApp, fungua soga kutoka kwa biashara. Kisha, gusa jina la biashara > Zuia Biashara.
Kuruhusu biashara kwenye WhatsApp, nenda kwa mipangilio ya WhatsApp. Kisha, gusa Akaunti > Faragha > Waasiliani waliozuiwa > jina la biashara > Ruhusu.
Rasilimali zinazohusiana
- Kuhusu kupiga soga na biashara
- Kuhusu kukubali kushiriki kwenye soga za biashara
- Jinsi ya kuzuia na kuruhusu waasiliani
- Jinsi ya kunyamazisha au kuliza arifa