Kuhusu kutumia WhatsApp ukiwa nje ya nchi

Unaposafiri nje ya nchi, bado unaweza kutumia akaunti ya WhatsApp kwa data ya mtandao wa simu au Wi-Fi.
Kama utatumia kadi ya SIM ya mahali ulikosafiri, bado unaweza kutumia WhatsApp na nambari yako ya nyumbani. Hata hivyo katika hali hii, ikiwa unahitaji kuthibitisha tena akaunti yako, hutaweza kufanya hivyo ukitumia kadi ya SIM ya mahali ulipo. Kuthibitisha tena / kuthibitisha nambari ya simu ya WhatsApp, lazima kadi ya SIM iliyo kwenye simu yako iwe unayotumia au huduma ya SMS imewezeshwa.
Je, hii ilikusaidia?
Ndiyo
La