Kuhusu kutuma ujumbe kwenye WhatsApp

WhatsApp inatumia muunganisho wa selula wa intaneti ya simu yako au mtandao wa Wi-Fi kutuma na kupokea ujumbe na kupiga simu kwa familia na marafiki zako. Ili mradi hujapitisha kikomo chako cha data au umeunganishwa na mtandao wa Wi-Fi ya bure, mtoa huduma wako hapaswi kukulipisha malipo ya ziada kwa ujumbe au kupiga simu kwa WhatsApp. Kama simu yako inaranda, tozo za data zinaweza kutumika.
Rasilimali zinazohusiana:
Je, hili linajibu swali lako?
Ndiyo
La