Jinsi ya kutumia hali nyeusi

Hali nyeusi hukuruhusu kubadilisha rangi ya mandhari ya WhatsApp kutoka nyeupe hadi nyeusi.
Tumia hali nyeusi
 1. Fungua WhatsApp, kisha bofya Menyu
  juu ya orodha ya soga zako.
 2. Bofya Mipangilio > Mandhari.
 3. Chagua miongoni mwa zifuatazo:
  • Mwanga: Kuzima hali nyeusi.
  • Nyeusi: Kuwasha hali nyeusi.
  • Mfumo wa msingi: Kuwasha mandhari meusi ya WhatsApp kulingana na mipangilio ya kifaa chako.
Je, hii ilikusaidia?
Ndiyo
La