Jinsi ya kupiga simu ya video

Android
iPhone
Wavuti na Kompyuta ya dawati
Windows
Kupiga simu ya video kunakuwezesha kuzungumza kwa video na watu unaowasiliana nao kwa kutumia WhatsApp.
Kupiga simu ya video
  1. Fungua soga ya WhatsApp na mtumiaji unayetaka kumpigia simu ya video.
  2. Gusa Simu ya video
    .
Vinginevyo, fungua WhatsApp, kisha uguse kichupo cha SIMU > Piga simu mpya
. Tafuta mtumiaji unayetaka kumpigia simu ya video, kisha gusa Simu ya video
.
Kupokea simu ya video
Kama simu yako imefungwa, utaona kwenye skrini inayoingia ya Simu ya video ya WhatsApp unapopigiwa simu ya video na mtu fulani, ambapo unaweza:
  • Sogeza juu ili ukubali
    .
  • Sogeza juu ili ukatae
    .
  • Telezesha juu ili ujibu
    ili ukatae simu na kutuma ujumbe wa haraka.
Ikiwa simu yako haijafungwa, utaona ibukizi ya Simu ya video inayoingia wakati mtu fulani anapokupigia simu ya video, ambapo unaweza kugusa Kataa au Jibu.
Kubadilisha kati ya simu ya video na ya sauti
Kubadili kutoka simu ya video kuwa simu ya sauti
  1. Ukiwa kwenye simu ya video, gusa Zima video
    hatua itakayomjulisha unayewasiliana naye kuwa unampigia simu ya video.
  2. Baada ya unayewasiliana naye kuzima video yake, simu itabadilishwa na kuwa simu ya sauti.
Kubadilisha kutoka kwa simu ya sauti kwenda kwa simu ya video
  1. Unapokuwa katika simu ya sauti, gusa Simu ya video
    > BADILISHA.
  2. Mtumiaji unayempigia simu ataona ombi la kubadilisha kuwa simu ya video na anaweza kukubali au kukataa kubadilisha.
Kumbuka:
  • Hakikisha kwamba wewe na waasiliani wako mna muunganisho imara wa intaneti unapiga au kupokea simu za video. Ubora wa simu ya video utategemea mtu mwenye muunganisho hafifu.
  • Upigaji wa simu ya video unapatikana tu kwenye simu za Android zinazotumia toleo la 4.1 au matoleo mpya.
Rasilimali zinazohusiana:
  • Jinsi ya kupiga simu ya video ya kikundi kwenye: Android | iPhone
  • Jinsi ya kupiga simu ya video ya kikundi kwenye iPhone
Je, hili linajibu swali lako?
Ndiyo
La