Jinsi ya kufuta soga

Android
iPhone
Kufuta soga kunakuruhusu kufuta jumbe zote ndani ya soga. Soga bado itaorodheshwa kwenye orodha ya soga.
Kufuta soga ya kibinafsi au kikundi
 1. Kwenye tab ya Soga, fungua soga ya kibinafsi au ya kikundi unayotaka kufuta.
 2. Gusa Hiari zaidi
  > Zaidi > Futa soga.
 3. Chagua au usichague Futa jumbe zilizo na nyota na Futa media kwenye soga hii.
 4. Gusa FUTA.
Futa soga zote kwa wakati mmoja
 1. Kwenye tab ya Soga, gusa Hiari zaidi
  > Mipangilio > Soga > Historia ya soga.
 2. Gusa Kuondoa soga zote
 3. Chagua au usichague Futa jumbe zilizo na nyota na Futa media kwenye soga.
 4. Gusa FUTA JUMBE.
Rasilimali zinazohusiana:
Je, hili linajibu swali lako?
Ndiyo
La