Kuhusu ruhusa za WhatsApp

Android
iPhone
Unapotumia kwa mara ya kwanza vipengele kwenye WhatsApp vinavyohitaji upatikanaji wa habari au programu kutoka kwa simu yako ya Android, utaona skrini inayokuomba ruhusa ya kufanya hivyo. Kuzima ruhusa kunaweza kusababisha WhatsApp ipoteze utendaji.
Kama tayari umesakinisha WhatsApp, unaweza kudhibiti ruhusa za programu zitumiazo kwenye mipangilio ya simu yako. Fungua Mipangilio ya simu yako, kisha gusa Programu & arifa > WhatsApp > Ruhusa.
Kujifunza zaidi kuhusu jinsi tunavyokusanya na kutumia data, kagua Sera zetu za faragha.
Je, hili linajibu swali lako?
Ndiyo
La