Jinsi ya kutuliza au kurejesha sauti ya sasisho ya hali ya mwasiliani

Android
iPhone
KaiOS
Unaweza kutuliza sasisho za hali ya mwasiliani fulani ili zisionekane tena juu ya kichupo cha Hali yako.
Tuliza sasisho ya hali ya mwasiliani
  1. Fungua WhatsApp > Hali.
  2. Chagua mwasiliani ambaye hutaki kutazama sasisho zake za hali.
  3. Bonyeza Tuliza > Tuliza.
Rejesha sasisho ya hali ya mwasiliani
  1. Fungua WhatsApp > Hali.
  2. Biringiza chini kwenye sehemu ya Tazama sasisho zilizotulizwa.
  3. Chagua mwasiliani ambaye unayetaka kurejesha sasisho ya hali yake.
  4. Bonyeza Rejesha > REJESHA.
Je, hili linajibu swali lako?
Ndiyo
La