Rasilimali za Kimataifa za Simu za Dharura za Kuzuia Kujiua

Simu za dharura za kuzuia kujiua hutoa msaada kwa walio na hitaji. Wasiliana kwa simu ya dharura ikiwa unahitaji msaada au unahitaji usaidizi wa kumsaidia rafiki. Ikiwa una wasiwasi kuhusu rafiki, tafadhali mhimize mtu huyo apige simu kwenda kwa watoa huduma za dharura pia.
Ikiwa nchi yako haijaorodheshwa, tafadhali wasiliana na huduma za dharura za eneo lako.
Marekani
Msaada wa Kitaifa wa Kuzuia Kujiua
http://www.suicidepreventionlifeline.org
Simu: 1 800 273 TALK (8255)
Simu ya Msaada wa Mgogoro kwa Wanajeshi/Wanajeshi Wastaafu (kwa wanajeshi na wanajeshi wastaafu wa Marekani na familia zao)
http://www.veteranscrisisline.net
Simu: 1 800 273 8255, Bonyeza 1
SMS: 838255
Mradi wa Trevor (kwa vijana, marafiki na wanafamilia LGBT)
http://www.thetrevorproject.org
Simu: 1-866-488-7386
Duniani kote
Australia
Msaada wa simu Australia
http://www.lifeline.org.au
Simu: 13 11 14
Msaada wa Simu kwa Watoto
http://www.kidshelp.com.au
Simu: 1800 55 1800
Headspace
http://www.eheadspace.org.au
Simu: 1800 650 890
Austria
Rat auf Draht
http://rataufdraht.orf.at
Simu: 147
TelefonSeelsorge – Notruf 142
http://www.telefonseelsorge.at
Simu: 142 (saa 24 kwa siku)
Barua pepe: https://onlineberatung-telefonseelsorge.at (soga na barua pepe)
Ubelgiji
Centrum Ter Preventie Van Zelfdoding
http://www.zelfmoord1813.be
Simu: 1813
Brazili
CVV
http://www.cvv.org.br
Simu: 188
Barua pepe: atendimento@cvv.org.br
Kanada
Simu ya Msaada kwa Watoto (kwa vijana wa chini ya miaka 20)
Simu: 1 800 6686868
Kwa watu walio zaidi ya umri wa miaka 20, tafuta kituo cha mgogoro kinachohudumia eneo lako:
http://suicideprevention.ca/thinking-aboutsuicide/find-a-crisis-centre
Jamhuri ya Cheki
Linka bezpečí
https://www.linkabezpeci.cz/
Simu: 116 111
Pražská linka důvěry
http://www.csspraha.cz/linka-duvery
Simu: 222 580 697
Linka důvěry Ostrava
http://www.mnof.cz/linka_duvery
Simu: 596 618 908
Simu: 737 267 939
Linka duševní tísně Most
http://www.mostknadeji.eu/linka-dusevni-tisne
Simu: 476 701 444
Skype: ldt.most
Linka důvěry DKC
http://dkc.cz/linka_duvery.php
Simu: 241 484 149
Skype: ld_dkc
Linka bezpečí
http://www.linkabezpeci.cz
Simu: 116111 (watoto na vijana)
Denmaki
Livslinien
http://www.livslinien.dk
Simu: 70 201 201
Børne
https://bornetelefonen.dk/ring
Simu: 116 111 (Simu za Msaada kwa Watoto zipo wazi kila siku kuanzia saa 5 asubuhi hadi 5 usiku.)
Ufini
Suomen Mielenterveysseura
https://mieli.fi/
Simu: 09 2525 0111
Ufaransa
S.O.S Amitié
https://www.sos-amitie.com/
Simu: 09 72 39 40 50
Ujerumani
Telefonseelsorge
http://www.telefonseelsorge.de
Simu: 0800 111 0 111
Simu: 0800 111 0 222
Nummer gegen Kummer
https://www.nummergegenkummer.de
Simu: 0800 111 0 550 (watu wazima)
Simu: 0800 111 0 333 (watoto)
Ugiriki
Msaada wa Kuzuia Kujiua Ugiriki
http://www.suicide-help.gr
Simu: 1018
Hong Kong
Marafiki wa Kisamaria wa Hong Kong
http://www.help4suicide.com.hk
Marafiki wa Kisamaria wa Hong Kong
http://www.sbhk.org.hk
Simu: 2389 2222
Marafiki wa Kisamaria wa Hong Kong
http://www.samaritans.org.hk
Simu: 2896 0000
Hungaria
Magyar Kilele Elsősegély Telefonszolgálatok Szövetsége
http://www.sos505.hu
simu: 116 123
Barua pepe: sos@sos505.hu
Kek Vonal
Simu: 116-111
India
AASRA
http://www.aasra.info
Simu: 91-22-27546669
Simu: 91-22-27546667
Barua pepe: aasrahelpline@yahoo.com
Israeli
ERAN
http://www.eran.org.il
Simu: Simu ya bure ndani ya Israeli: 1201
Simu: Nje ya Israeli: 972-76-8844400
SAHAR (Laini ya soga ya usaidizi wa hisia)(Kiebrania)
http://www.sahar.org.il
SAHAR (Laini ya soga ya usaidizi)(Kiarabu)
http://www.sahar.org.il/?categoryId=63068
Italia
Telefono Azzurro
https://www.azzurro.it
Simu: 19696
Telefono Amico
http://www.telefonoamico.it
Simu: 199 284 284
Lativia
Skalbes
http://www.skalbes.lv
Simu: 371 67222922
Simu: 371 27722292
Litwania
Lietuvos emocinės paramos tarnybų asociacija
http://www.klausau.lt
Vaikų linija (Laini kwa Watoto)
http://www.vaikulinija.lt
Simu: 116 111
Jaunimo linija (Laini kwa Vijana)
http://www.jaunimolinija.lt/laiskai/
Simu: 8 800 28888
Vilties linija (Laini ya Tumaini)
https://www.viltieslinija.lt/
Simu: 116 123
Barua pepe: 116123@viltieslinija.lt
Pagalbos moterims linija (Laini ya wanawake)
http://www.moteriai.lt
Simu: 8 800 66366
Barua pepe: pagalba@moteriai.lt
Linija Doverija (Msaada kwa wateja wanaoongea Kirusi)
Simu: 8 800 77277
Lasembagi
SOS Détresse – Hëllef iwwer Telefon
http://www.454545.lu
Simu: 454545
Kanner-Jugendtelefon
http://www.kjt.lu
Simu: 116 111
Meksiko
Consejo Ciudadano
http://consejociudadanomx.org
Simu: 55 5533-5533
Instituto Hispanoamericano de Suicidologia, A.C
Simu: +5255 46313300
Barua pepe: info@suicidiologia.com.mx
Uholanzi
Stichting 113 Zelfmoordpreventie
http://www.113online.nl
Simu: 0800 0113
Nyuzilandi
Mpango wa Kitaifa wa Kukabili Unyogovu
http://www.depression.org.nz
Lowdown
http://www.thelowdown.co.nz
Simu: 0800 111 757
SMS: 5626
Barua pepe: team@thelowdown.co.nz
Laini ya vijana http://www.youthline.co.nz
Simu: 0800 376633
SMS: 234
Barua pepe: talk@youthline.co.nz
Barua pepe: parenttalk@youthline.co.nz
Norwe
Kirkens SOS
http://www.kirkens-sos.no
Simu: 815 33 300
Polandi
Fundacja Dzieci Niczyje
http://www.116111.pl/napisz
Simu: 116 111
Ureno
SOS voz amiga
https://www.sosvozamiga.org/
Simu: 213 544 545 / 912 802 669 / 963 524 660 (Kila siku kuanzia saa 9:30 hadi 6:30)
Urusi
Wasamaria (Cherepovets)
Simu: 007 (8202) 577-577 (saa 3 asubuhi hadi saa 3 usiku)
Kituo cha Huduma za Kisaikolojia cha EMERCOM (Интернет-служба экстренной психологической помощи)
https://psi.mchs.gov.ru/
Simu: 007 (495) 989-50-50
Serbia
Centar Srce
http://www.centarsrce.org
Simu: 0800 300 303
Barua pepe: vanja@centarsrce.org
Singapoo
Wasamaria wa Singapoo (SOS)
http://samaritans.org.sg
Simu: 1800 221 4444
Barua pepe: pat@samaritans.org.sg
Afrika Kusini
Kikundi cha Kukabili Unyogovu na Wasiwasi Afrika Kusini (SADAG)
http://www.sadag.org
Simu: 0800 567 567
SMS: 31393
Korea Kusini
Taasisi ya Kuzuia Kujiua ya Korea (한국생명존중희망재단)
http://www.kfsp.org/
Simu: 02-3706-0500
보건복지부 보건복지콜센터 (Kituo cha Huduma za Simu cha Wizara ya Afya na Idara ya Ustawi)
Simu: 129 (24시간 위기상담 / laini ya saa 24)
정신건강증진센터 정신건강위기상담전화 (Kituo cha Nasaha na Ushauri wa Matatizo ya Kiakili)
Simu: 1577-0199 (24시간 위기상담 / laini ya saa 24)
Uhispania
Teléfono de la Esperanza
http://telefonodelaesperanza.org
Simu: 902500002
Uswidi
Uswizi
Tel 143 - La Main Tendue – Die Dargebotene Hand – Telefono Amico
http://www.143.ch
Simu: 143
Taiwani
Laini ya Kuzuia Kujiua ya MOHW (衛生福利部)
https://www.mohw.gov.tw/cp-16-48244-1.html
Msaada
http://www.life1995.org.tw/
Uingereza / Ayalandi
Wasamaria
http://www.samaritans.org
Simu: 116 123
Barua pepe: jo@samaritans.org
Je, hili linajibu swali lako?
Ndiyo
La