Jinsi ya kudhibiti maudhui yako

iPhone
KaiOS
Picha na video unazopokea kwenye WhatsApp zinahifadhiwa kiotomatiki kutoka kwa Matunzio na Video ya simu yako.
Kuacha kuhifadhi media unayopokea
  1. Fungua WhatsApp.
  2. Bonyeza Hiari > Mipangilio > Soga.
  3. Hakikisha Onyesha media kwenye matunzio imechaguliwa na bonyeza LEMAZA.
Kama utabadilisha mawazo yako na unataka kuhifadhi media unayopokea, unaweza kuwezesha mpangilio huu.
Kuhifadhi media unayopokea
  1. Fungua WhatsApp.
  2. Bonyeza Hiari > Mipangilio > Soga.
  3. Hakikisha Onyesha media kwenye matunzio imechaguliwa na bonyeza WEZESHA.
Rasilimali zinazohusiana:
Je, hili linajibu swali lako?
Ndiyo
La